RIHANNA KUVAMIWA
Mwanadada Rihanna alitaka kuvamiwa na mtu
asiyejulika katika nyumba yake
Mjini Southem California, jamaa huyo alikamatwa mara
baada ya majirani
Kutoa taarifa katika kituo cha polisi mjini humo.
Mtuumiwa huyo alieleza polisi kuwa yeye alikuwa
anafata maelekezo aliyokuwa
Hakipewa ili aweze kuingia ndani humo, lakini sababu
haijajulikana iliyomfanya
Mtu huyo kutaka kuingia katika nyumba ya Rihanna.
0 maoni:
Post a Comment