TUPAC YUHAI
Ni kama wiki mbili tokea Lil Wayne kujiita yeye kuwa
ni TUPAC, Lakin senator
Marco Rubio amekubali kuwa Wayn ni tupac mpya mara
baada ya msanii huyo
Kujibatiza jina hilo la TUPAC.
Rubio amesibitisha kuwa yeye ni mmoja ya wapenzi wa
muziki wa HIP HOP
Nchini Marekani, hayo aliyasema wakati akiwa katika
kiwanja cha ndege baada
Ya taarifa ya msani huyo kujiita Tupac mpya.
Rubio amesikika akisema kuwa Tupac bado yupo hai
tena anaishi kwa muda
Tofauti tofauti, akaongezea kusema kuwa Tupac
alikuwa anawajuza watu kuusu
Mambo yanayoendelea , aliyafanya hayo kupitia Muziki”
Hakuishia hapo tu, alibainisha kuwa anavutiwa na
nyimbo zifuatazo , kama vile
Emminem’s” Lose Yourself, na nyimbo ya Tupac,
Killuminati”..
.jpg)
.jpg)
0 maoni:
Post a Comment