GIGGS KUBAKI MAN U, TENA
Aliyekuwa mchezaji wa kikosi cha Man U, Ryan Giggs,
amesaini mkataba mpya
Na kikosi chake cha awali Man U.
Gigs mwenye umri wa miaka 39, sasa atasalia katika
kikosi hicho kwa msimu wa
Mwaka mmoja ambao ni mpaka mwaka 2014 juni, usajili
huo unamfanya kuwa
Amechezea timu hiyo kwa muda wa miaka 23, na kuwa
katika idadi ya wachezaji
Wakongwe wa kikosi hicho.
Tukiludi nyuma ni mchezaji aliyeifungia timu hiyo
mabao 198 katika michezo
931 tokea mwaka 1991.

0 maoni:
Post a Comment