BRITNEY SPEARS NA MPENZI MPYA
Britney spears, msanii wa miyondoko ya POP ameonekana akiwa mwenye furaha
wakati akiwa na mpenzi wake mpya.
msanii huyo mwenye umri wa miaka 31, wa miondoko ya POP ameonekana na mpenzi huyo
atwae David Lucado, wawili hao walionekana wakiwa na HAPPY yakutosha mitaani.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 maoni:
Post a Comment