MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
LIL WAYNE
AMETOKA HOSPITAL
Inasemekana kuwa Lil Wayne ametoka Hospital, taarifa kutoka kwa msimamizi wa ICU- Katika Cadars-sinai Medical canter.
Lil Wayne amekaa ICU kwa kipindi cha siku 6, kipindi chote hicho alikuwa katika kipindi kigumu sana, hali hiyo ilisababishwa na utumiaji wa mada kupita kiasi.
Msanii huyo anaonekana kuwa bado yuko na hali mbaya ya kiafya, anatakiwa kupumzika kwa kipindi kirefu mpaka apate nafuu zaidi.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment