LIL WAYNE
SIKU 6 ICU.
Lil Wayne bado yuko Hospital katika chumba cha wangonjwa maututi ICU,
Leo ni siku ya 6 tokea kuzidiwa na madawa ya kulevya na kupelekwa hospotal.
Taarifa zinasema kuwa Lil Wayne anaendelea vizuri, inawezeka hivi karibuni
Akatoka katika chumba cha wangonjwa maututi, ICU, taarifa hizo ni kutoka
Kwa madaktari wa Cadars-Sinai Hospital.
Kipindi chote msanii huyo alikuwa karibu na marafiki na wanafamilia yake,
Kati ya jamaa zake wa karibu waliokwenda kumtazama ni Drake, Nick Minaj,
Chris Paul na Birdman, kipindi chote cha kuumwa kwake.

0 maoni:
Post a Comment