MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
MWANDISHI WA HABARI AACHILIWA HURU.
Mahaka kuu ya mjini Mogadishu nchini Somalia yamuachilia huru mwandishi wa habari ambaye alifungwa kwa kfanya mahojiano na mwanamke aliyebakwa na wanajeshi.
Kesi hiyo ililalamikiwa kimataifa, mwandishi huyo, Abdilaziz Abdinuur, awari alipewa hukumu ya kifungo cha mwaka mmoja kwa kumuhoji mwanamke aliyesema kuwa alibakwa na wanajeshi wa serikali.
Mwanamke huyo naye aliukumiwa kifungo cha mwaka mmoja lakin kesi yake ilifutwa kwenye rufaa awali mwenzi huu.
Kwa mujibu wa mahakam wote wawili wameachiwa huru na kesi zao zimefutwa.

Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment