DRAKE NA CHRIS BROWN WANADAIWA.
Wasani wa muziki nchini marekani Chris Brown na Drake wanatakiwa kukata mkwanja kutokana na ugomvi uliosababishwa nao katika ukumbi wa usiku nchini humo.
Katika ugomvi wao walimsababishia majelaa Tony Parker , amabaye ni mcheza mpira wa kikapu katika michuano ya NBA,
Tony alimdai mmiliki wa club hiyo ya W.I.P, fidia lakini ilionekana wanaotakiwa kulipa fidia hiyo ni Drake na Brown, hao ndio waliosababisha matatizo katika club hiyo.

0 maoni:
Post a Comment