LIL WAYNE, AMETEMBELEWA NA BIRDMAN
Msanii wa Hip Hop nchin marekani Birdman amemtembelea Lil Wayne Hospital wiki hii.
Msanii huyo ambaye anajulikana kama Baba wa Lil Wayne, Bardman amempa Lil Wayne, zawaidi ya pesa kiasi cha dola 1000,000, katika siku yake ya kuzariwa.
Tokea kuumwa kwa wayne, ametembelewa na Drake na Chris Paul.
Pia Birdman aliandika katika tweeter, kwamba” my son is feelin good, will be home real soon.

0 maoni:
Post a Comment