PAPA KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI
Papa Francis, aliyechaguliwa hivi karibuni amekutana na waandishi wa habari mjini Rome akizungumzia kuwa atapenda kanisa masikini lenye lengo la kuwasaidia watu masikini.
Katika hatuba Vatikani imesema kuwa imeonesha uwazi zaidi Papa mpya alizungumza na mamia ya waandishi wa habari na kusema kuwa alichagua jina la mtakatifu Francis, wa Assisi kwa sababu alikuwa mtakatifu wa amani na matumizi haba na kutumika Masikini.

0 maoni:
Post a Comment