DRAKE KICHWA CHINI
Mmoja kati ya wasanii wanao unda kundi la Young Money, Drake, alikwenda kumtazama Lil Wayne, kipindi ambacho muda wa kutazama wagonjwa umekwisha.
Msanii huyo alionekana katika maeneo ya Hospitali hiyo akiwa kichwa chini uku akielekea kwenye gari yake, mida ya 8:50 pm,.
Drake hakuweza kuzungumzia chochote kuusu hali ya Lil Wayne, chanzo cha Habari kinasema ingawa hakuweza kumuona kwa muda huo lakini amekuwa ni mtu mwenye kutembelea kila siku.

0 maoni:
Post a Comment