LIL WAYNE YUPO ICU.
Msanii wa miyondoko ya Hip Hop, nchini Marekani amelazwa katika chumba
Cha wangonjwa maututi yani ICU, katika Hospitali ya Cadars-sinai Hospital,
Chanzo cha habari kinasema kuwa msanii huyo amelazwa kutokana na kuzidiwa
Mara baada ya kuathirika vibaya kutokana na utumiaji wa madawa ya kulevya,
Madaktari wametumia muda wa dakika 3 kumsafisha tumbo msanii huyo, taarifa
Kutoka hospitali zinasema kuwa bado hali yake si njema ingawa msanii huyo ametuma
Ujumbe kwa wadau wake kuwa yuko salama, na anajiandaa kupanda ndege na kwenda
![]() |
| Young money wakiwa nje ya Hospital wakiwa wanafanya mawasiliano |
Los Angeles


0 maoni:
Post a Comment