Kim Kardashian amekuwa huru kufunga ndoa na Kanye
West mara baada ya kupatikana muwafaka mahakamani kuwa Kim na mchezaji wa NBA, Humphries,
wameachana rasmi na talaka kupitishwa mahakamani.
Wawili hao walifunga ndoa mwaka 2011 na kuishi
katika ndoa kwa muda wa siku 72, na Kim kufungua kesi ya madai ya ndoa katika
mahakama nchi marekani, kwa kipindi hicho chote Humphries amekuwa single wakati
Kim akiwa na penzi la Kanye West.
0 maoni:
Post a Comment