MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

NBA STAR JAMES HARDEN, AMESEMA ANYOI NDEVU LABDA….

Mcheza mpira wa kikapu nchini , maerkani ameiyambia TMZ, kuwa hanyoi ndevu labda watu wakimpa pesa ambayo itakwenda kwa vijana, pia atatizama ni makundi gani ya vijana wanaopaswa kupewa hiyo pesa ya yeye kunyoa ndevu zake. Tazama video ya interview yake iki ni kipindi cha miaka ya 2008,tokea kipindi hicho mpaka leo hajawai kunyoa tena ndevu zake.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment