Kanye
alimtwanga swali Kim, mbele ya marafiki na familia zao kuwa, Kim will you marry me ? Kim akajibu Yes, hii kitu ilijitokeza siku ya Jumatatu.
Siku
ya jumatatu, ilikuwa ni siku ya birthday ya Kim kutimiza miaka 33. Inasemekana mara
baada ya kim kukubali kuwa na kanye basi si muda mrefu watafunga ndao wawili
hao.
0 maoni:
Post a Comment