Mkurugenzi
wa kampuni ya Sony Music Africa, Seven Mosha, amefunguka na kusema kuwa
wanatarajia kumsainisha msanii mwengine ambaye watamtaja mwishoni mwa mwaka huu
mara baada ya Rose Muhando kutoa nyimbo zake kupitia Kampuni yao.
Aliendelea
kwa kusema kuwa hawachagui kila msanii bali kuna njia wanazozitumia kuwapata
wasanii tena wanawapa mashavu wasanii wenye majina na njia yakumjua msanii yupi
ni bora kwao, alisema kuwa wanatumia mtandao kumju msanii huyo.
“
kila jumatano huwa tuna kikao kiitwacho A and R, ambacho tunaangalia wasanii
wote waliopo online, alitoa mfano wa msanii mmoja Xtratic, ilikuwa ni kazi aliyoitoa as underground akaweka Video
yake Online and then alikuwa hajulikaniki, hana Deal yoyote lakini kukawa na
watu wanaoupenda wimbo wake.
0 maoni:
Post a Comment