MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

SUGUA GAGA KUDONDOSHA HIVI KARIBUNI.

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Shaa, anatarajia kuidondosha nyimbo yake mpya ya Sugua Gaga, mwezi wa kumi na moja tarehe moja (November 1) mwaka huu.

Shaa alisaini mkataba wa miezi sita na kampuni ya Said Fella, na hiyo itakuwa ni wimbo wake wa kwanza tokea kujiunga na kampuni hiyo, Said Fella, amesema kuwa zamani Shaa nyi mbo zake zilikuwa zinawafikia washua tu lakini sasa hivi anafanya Ngoma kwa watu wote, wa hali zote.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment