MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

PROFESA JAY “ SITO-PERFORM KWENYE SHOW YA FIESTA KESHO. MLIO-HACK AKAUNTI YANGU, SIPENDI HAYO MAMBO.

Msanii wa Hip Hop, nchini, Profesa Jay, amekanusha kutumbuiza katika show ya Fiesta itakayofanyika hapo kesho katika viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es salaam.
Amefunguka na kusema kuwa kuna watu walio-hack akaunti yake ya Facebook na Twitter, kasha wakaandika kuwa ata-perform live katika jukwaa la fiesta.
Hayo aliyasema mara baada ya mtangazaji wa Times Fm, Gadner G. Habash, kuongea naye kwa njia ya simu. Nukuu “ dah jamaa wabaya hao, wameshaingilia akaunti yangu”  hayo yalikuwa maneno ya Prof J, mara baada ya muda aliandika tangazo jipya kupitia akaunti hiyo hiyo.
ATTENTION: Kuna mtu amehack account yangu ya Twitter na FB na kutangaza Kuwa nitakuwepo kesho kwenye FIESTA DAR, Taarifa hizo hazina UKWELI!
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment