MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

KOCHA WA MAN CITY ASEMA” UEFA WABUNI ADHABU KWA WATU WENYE TABIA ZA UBAGUZI WA RANGI KATIKA MCHEZO WA SOKA.

Meneja wa klabu ya Man City, Manuel P ellegrini Ripamonti, ameitaka UEFA, Kubuni adhabu kali kwa watu ambao bado wanaendelea na tabia ya ubaguzi wa rangi katika mchezo wa soka barani Uraya.

Kauli hiyo imefuatia mara baada ya mchezaji wa Man City, kutoka Africa nchini Ivory Cost, Yahaya Toure, kubaguriwa katika mchezo kati ya Man City na CSKA Moscow, ligi ya mabingwa barani Ulaya, mchezo uliochezwa hapo jana.

Yahaya, alimthibitishia kocha wake kwa kitendo alichofanyiwa na mashabiki wa CSKA, kuwa walimfanyia vitendo vya ubaguzi wa rangi katika mchezo ulichezwa hapo jana.

Kocha huyo alisema kuwa Manyanyaso hayo si kwa Yahaya Pekee bali ni kwa timu nzima ya Man City, pia haikuwa sawa na kitu kizuri kumbagua mtu, kwani sote ni wangu tu.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment