Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amekabidhiwa
rasimu ya pili ya katiba mpya na tume ya katiba inayoongozwa na mwenyekiti wake
Jaji Joseph Warioba
Rais Kikwete amesema kuwa kazi iliyofanyika katika mchakato huo imewezesha makundi mbalimbali katika jamii kuchangia mawazo yao kupitia tume aliyoiunda ili kupata mawazo ya watanzania kuhusiana na katiba wanayoitaka.
0 maoni:
Post a Comment