Mimi
binafsi nashangazwa na wasanii wengi wa Tanzania, sasa wamegeukia upande wa
Siasa na kuzikacha Kazi zao za sanaa...............
Hii
inatupa picha jinsi gani Tanzania na watanzania wanavyoichukulia simple Siasa,
maana kila kukicha utasikia msanii huyu ametangaza nia, sasa burudani wafanye
kina nani?
Kwanza
hawana sifa za kutosha, siyo wasomi, wamegubikwa na skendo kibao, zikiwemo za
Ufuksa kwa mabinti, wavuta bagi nk, sasa inawezekanaje watu wenye sifa kama
hizo kuwa viongozi.
Watanzania
wenye nia ya kutaka changes, 2015 siyo muda wa kufanya makosa kama wameshindwa
kazi ya burudani je wataweza kazi ya kuwaongoza watu. Jamani jamani Bunge siyo
Club.
Na
nyinyi viongozi wa vyama msivifanye vyama vyenu kuwa mageto ya wavuta bangi, Malaya
[mafuksa] wajinga nk, swali moja, kamaa sanaa ni kazi na ni moja ya njia sahihi
ya kufikisha ujumbe na unaweza kufanyiwa kazi sasa mbona mnakimbia kazi zenu,
nani afikishe ujumbe na sanaa kimataifa? Msiwape nafasi bao tunawaitaji katikab
sanaa
0 maoni:
Post a Comment