Uhispania
imepandisha umri unaoruhusiwa kwa wasichana kuolewa hadi kumi na sita.........
Hadi
sasa wasichana nchini humo wangeruhusiwa kuolewa wakiwa na miaka kumi na nne
bora tu wapate ruhusa ya jaji.
Sheria
hiyo mpya sasa inanuiwa kupunguza visa vya udhalilishaji wa watoto nchini humo
Chanzo BBC
0 maoni:
Post a Comment