H. KIMATAIFA Waziri wa sheria nchini Afrika
Kusini amepinga uamuzi wa kuachiliwa kwa mwanariadha Oscar Pistorius................
Michael
Masutha amesema kuwa uamuzi wa kumuachilia mwanariadha huyo umechukuliwa
mapema.
Oscar
Pistorius na Reeva Steenkamp
Pistorius
amekaa gerezani kwa muda wa miezi kumi baada ya kumuua kwa kumpiga risasi
mpenziwe Reeva Steenkamp na alitarajiwa kuachiliwa ili atumikie kifungo chake
cha nyumami siku ya Ijumaa.
Chanzo BBC Swahili.
0 maoni:
Post a Comment