Msanii wa Muziki wa
Kizazi Kipya NAY WA MITEGO, amefunguka na kusema kuwa mwaka huu wa 2016,
anataka kushusha ngoma 6, kwa pamoja.
Msanii huyo alikuwa
akiachia ngoma mbili au tatu kwa mwaka lakini mwaka huu anatarajia kushusha
ngoma 6, kwa mwaka. Hayo yalikuwwa maneno ya Nay.
0 maoni:
Post a Comment