
Ikulu ya Marekani
imesema mkutano kati ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Rais Barack
Obama wa Marekani umefutwa katika mazingira ya utata.
Waziri Mkuu wa Israel
Benjamin Netanyahu
Imeelezwa kuwa
Netanyahu alitakiwa kukutana na me Rais Obama ndani ya mwezi huu.

Msemaji wa Ikulu ya
Rais Obama amesema kuwa wameshtushwa na hatua ya Netanyahu kuamua kukatisha
ghafla ziara yake na kwamba taarifa hizo wamezisikia kupitia vyombo vya habari.
Amesema kuwa madai ya
kwamba mkutano huo umeshindikana kutoka na kukosekana kwa maandalizi si kweli.
KUTOKA BBC SWAHILI
0 maoni:
Post a Comment