Image captionNdege ya kivita ya Urusi ikidondosha mabomu mjini Aleppo
Mapigano makali yanaendelea mjini Aleppo Syria. Umoja wa mataifa unazungumza na Urusi juu ya kusimamisha mapigano kwa ajili ya utoaji wa misaada kwa watu zaidi ya milioni mbili waliopo katika miji iliyojitenga ya Syria.
Image captionSiku ya Jumapili vikosi vya waasi viliharibu huduma muhimu Magharibi mwa Aleppo
Urusi ilitangaza kusimamisha mapigano dhidi ya waasi kwa masaa matatu kila siku lakini umoja wa mataifa unasema hayatoshi,wanataka masaa 48 ambayo yanatosha kusambaza misaada na kuokoa majeruhi sambamba na wagonjwa.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment