MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

Mwanasheria nchini Canada asikitishwa na mauaji ya mteja wake

Alieleza kuwa bwana Driver alikuwa mmoja wa wateja wake, kwa sababu alikuwa anaheshimika
Image captionAlieleza kuwa bwana Driver alikuwa mmoja wa wateja wake, kwa sababu alikuwa anaheshimika
Mwanasheria wa mshukiwa wa ugaidi nchini Canada, ameiambia BBC kuwa ameshtushwa kusikia mteja wake amepigwa risasi wakati wa operasheni ya polisi wa Ontario katika mji wa Strathroy.
Leonard Tailleur anayemwakilisha Aaron Driver ambaye ni marehemu, alijulikana kwa kuwahurumia waislam, alipohukumiwa mwezi wa Februari.
Bwana Tailleur amesema kumekuwa na pingamizi juu yake ili kumlinda na kujihusisha na wanaharakati wa kiislam sambamba na kuulizwa maswali kedekede.
Polisi wanasema Aaron Driver pichani alikuwa anahusishwa na matukio kadhaa ya kigaidi
Image captionPolisi wanasema Aaron Driver pichani alikuwa anahusishwa na matukio kadhaa ya kigaidi
Alieleza kuwa bwana Driver alikuwa mmoja wa wateja wake, kwa sababu alikuwa anaheshimika.
Polisi wamesema wana taarifa sahihi kuhusu wanaotuhumiwa na mabomu ya kujitoa mhanga.
Polisi wenye silaha walionekana katika mji wa Strathroy yalipokuwa makazi ya Driver
Image captionPolisi wenye silaha walionekana katika mji wa Strathroy yalipokuwa makazi ya Driver
Familia yake imeliambia shirika la utangazaji la CBC kuwa Driver alipigwa risasi baada ya kuwasha kifaa ambacho kilimjeruhi yeye sambamba na mtu mwingine.

kutoka BBC Swahili
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment