MOTO UTAWASHWA LEO OLD TRAFFORD.
Meneja wa klabu ya Liverpool, Brendan Rodgers, ana nia ya kuwashilikisha wachezaji wote mahiri katika pambano kubwa la leo jumapili wakati klabu itakapocheza katika uwanja wa ugenini wa Man U, Old Trafford.
Meneja huyo alifanya mabadiliko 11 siku ya Alhamisi, wakati timu yake ilipocheza dhidi ya klabu ya Young Boyz, katika mechi ya ligi ya Europa, na kuiwezesha time yake kuondoka na Ushindi.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 maoni:
Post a Comment