MICHELLE OBAMA AMUOMBEA MUMEWE KURA.
Mke wa Rais wa marekani, Barack Obama,
Michelle, amehutubia
Kongamano la chama tawala cha Democratic ambapo
alitetea haki
Ya mumewe kupewa nafasi kutawala taifa hilo kwa
muhula wa pili.
Akiongea kaskazini mwa jimbo la Carolina
alimtaja mumewe kama
mtu anaye
Elewa matatizo yanayowakumba wamarekani.
0 maoni:
Post a Comment