waziri wa mambo ya ndani DK-Emmanuel Nchimbi ameunda
tume ya watu watano ya kuchunguza kifo cha aliyekuwa mwandishi
wa habari wa chennel ten Bw,Daud Mwangosikilichotokea mkoani Iringa.
hayoyamesemwa na waziri huyo wakati akizungumza na waandishi wa habari
jijini dar es salaam.
waziri huyo ameipa siku 30 tume hiyo kuchunguza kifo hicho kilichotokana na
vurugu za chadema pamoja na jeshi la polisi mkoani huko hivi karibuni.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment