MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
SERGIO AGUERO AMECHUKIZWA NA UPENDELEO WA WAAMUZI

Sergio Aguero anaamini wachezaji raia wa Uingereza hupendelewa na waamuzi, wakilinganishwa na wenzao kutoka ng'ambo.
Mchezaji huyo wa klabu ya Manchester City, na mwenye umri wa miaka 24, alifunga bao la kusawazisha, katika mechi ambayo timu yake iliishinda Fulham magoli 2-1.

Wenzake kutoka Argentina, Pablo Zabaleta na Carlos Tevez, licha ya kudai penalti, maombi yao yalikataliwa na mwamuzi.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment