FOREST WHITAKER KUSHUKIWA WIZI.
Whitaker amesema kuwa waliokuwa wakimshuku kuwa
aliiba
Walikuwa wamekosea, pia kumshuku mbele ya umma ni
kitendo
Cha kuvunja haki yake.
Whitaker ambaye ni Academy Award-winning
MILLIONAIRE,
Amesema kuwa alikuwa anatoka katika Milano Market,
katika matumizi
Yake ya ijumaa , ghafla akasimamishwa na mfanyakazi
wa eneo hilo na
Kumtuhumu kuwa ameiba vitu kwenye mashelfu ya
bidhaa, dukani huo.
Aliendelea kusema kuwa mfanyakazi huyo aliendelea
kumpekua kama
Vile ni mwizi wa kila siku katika duka hilo,
Mfanyakazi huyo alimnyang’anya mfuko na kuuweka
chini, Whitaker
Alikasilishwa na kumsusia mfuko mfanyakazi huyo.
0 maoni:
Post a Comment