MCHUMBA WA OSCAR KWENYE TV
Kampuni ya televisheni ya Afrika kusini inasema
itasonga mbele na mpango
Wake wa kuonesha kipindi kinachomuonesha Reeva
Steenkamp, ambaye
Ni mchumba wa mwanariadha mlemavu wan chi hiyo.
Msichana huyo alipigwa risasi nyumbani kwa
mwanariadha huyo siku ya
Alkhamis , bwana OSCAR ameshtakiwa kwa mauaji hayo.
Mrembo huyo mwenye 29, alikuwa anatarajiwa kushiriki
kipindi cha Tropical
Island of treasure, ambacho kilitakiwa kutayarishwa
nchin Jamaica.
0 maoni:
Post a Comment