Mtangazaji wa Radio ya Clouds Fm, B12-Hamis Mandi,
ameshika nafasi ya 9, kwenye kumi Bora ya watangazaji wa Radio katika Bara la
Afrika, ametajwa kupitia kipindi cha Top Ten Most, Kinachorushwa na Channel O.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment