Msanii wa muziki nchini Marekani-Chris Brow, amepata
shavu kutoka kampuni ya NIKE, kupitia Gari yake aina ya Lamborghini, Gari hiyo
imepakwa rangi ya Kiatu kipya cha kampuni ya Nike.
Msanii huyo atakuwa akipokea mkwanja kupitia matanzo
ya nike katika Gari yake. Haya sasa wasanii wa Tanzania, kazi kwenu, kwa namna
hii kweli wenzeti ni wasani tena Stars.
Lambo ya CB, wakati wa kupigwa rangi ya chata ya Nike |
0 maoni:
Post a Comment