Msanii wa kundi la TIP TOP CONECTION, Tunda Man,
ametoa Qaswida kwa mashabiki wake , hii ni kutokana na mfungo wa Ramadhani.
Msanii huyo alihojiwa na mtandao wa Bongo5, uwa hii
Qaswida, ni zawadi ya wadau wake wanaopenda na kufuatilia mziki wake na
kutambua mchango wao.
Nukuu” nimetoa wimbo wa Qaswida kwaajili ya
mashabiki wangu, pia ni zawadi ya mwenzi mtukufu wa Ramadhani, pia alisema kuwa nyimbo hiyo atampa
kila mtu atakayeutaka
kupitia Email au Whatsapp.
0 maoni:
Post a Comment