Justin Bieber, amefukuzwa katika club moja iliyoko
mjini NYC, NYC nightclub, kutokana na umri wake kuwa mdogo kulinganisha na vigezo
vya club hiyo.
Club hiyo watu wote walio chini ya miaka 21,
hawatakiwi kufanya starehe katika club hiyo. Hivyo basi msanii huyo alitakiwa
kutolewa nje ya club. Haya ndiyo maneno aliyopewa msanii huyo.
But money can't buy everything ... we're told JB was DENIED entrance by the club's security because he's only 19 -- making his presence a potential problem (see Chicago earlier this month).
Not to be defeated ... Biebs and his posse were shot minutes later cruising into another club, Catch ... where he probably just sipped water.
0 maoni:
Post a Comment