Bondia
mkali Tanzania Francis Cheka, alimshamburia Bondia kutoka nchin Marekani Phil
Williams, katika pambano la kugombania Ubingwa wa Dunia WBU, na mgeni rasmi
alikuwa Waziri wa Habari, utamaduni na
Michezo, Mh. Dkt Fenella Mukandala.
Cheka alimshushia makonde yakutosha mmarekani huyo na
kuakikisha mpaka anapata ushndi katika kiwanja cha nyumbani, katika ukumbi wa
Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam. Cheka aitangazwa kuwa bingwa kwa kumzid
mpizani wake point kadha.
Cheka, akifanya yake katika pambano la kukata kwa shoka, ubingwa wa WBU. |
0 maoni:
Post a Comment