Rapper mwenye
asili ya Jamaica Sean Kingston na aliyekuwa mlinzi wake wote wawili wanashukiwa
kwa kosa la kumbaka msichana aliyekuwa katika chumba cha Hoteli huku akiwa
amelewa sana.
Msichana huyo alisema, Carissa Capeloto, 22, kuwa
alifosiwa kufanya mapenzi na msanii huyo pamoja na mlinzi wa msanii huyo katika
hoteli ya Seattle mwaka 2010, dada huyo aliendelea kusema kuwa alikalibishwa na
msanii huyo katika chumba chake kasha akamkuta akiwa mtupu na kumtaka kufanya
naye mapenzi kinguvu.
Aliendelea kwa kusema kuwa mlinzi wa King,
alimnyanyua na kumtupia katika kifua cha msanii huyo na kuanza kufanya mapenzi
na wote watatu, mara baada ya rafiki yake Capeloto kuja na kumuokoa kutoka
katika janga hilo.
Mdada huyo anadai fidia ya dola million 5, kutokana
na kuvurugiwa maisha yake na msanii huyo, kesi hiyo ilitupiliwa mbali mara
baada ya polisi kusema kuwa mdada huyu hakuwa na vielelezo vya kutosha vya
kuaminika katika kesi hiyo.
Kingston, aliwasilisha charaka zinazonesha kuwa
msichana huyo alikubaliana na msanii huyo ndipo walipanza kufanya mapenzi yao ,
kesi hiyo imepelekwa mbele mpaka mwenzi November.
0 maoni:
Post a Comment