TFF,
na Kampuni ya Azam Media wamefikiana mwafaka wa kuonesha Ligi kuu ya Vodacom,
kwa kusaini mkataba wa miaka mitatu wenye samani ya Bil 5.5.
Mkataba huo umesaini mbele ya makamu wa Rais,
Athuman Nyamlani, katika Hotel ya Serena jijini Dar es salaam,.
Kupitia Decoder ya AZAM TV, utaweza kutazama Ligi
hiyo moja kwa moja pia Decoder hiyo imeshehena Channel zaidi ya 50, ambazo
zitaanza kuruka mwenzi hujao, Makamu wa Rais wa TFF, Alisema kuwa udhamini wa
Televisheni hiyo ya Azam umeleta fursa kubwa kwa vilabu na wachezaji kujipatia
nafasi za kucheza nje ya nchi.
0 maoni:
Post a Comment