Sean
Kingston, ameamua kuimaliza kesi anayodaiwa kumbaka msichana kwa kumlipa
mlalamikaji kiasi cha pesa alizoziitaji msichana huyo.
Mtandao wa TMZ,umeripoti kuwa msanii huyo amelipa
dai hilo si kwa sababu kuwa amembaka kweli mdada huyo bali ni kutokana na yeye
kutegemea kuwa na ziara ya kimuziki hivi karibuni na anataka kumalizia albam
yake hivyo ameamua yaishe tu kwa kumlipa pesa aliyoitaka mdada huyo.
0 maoni:
Post a Comment