Msanii
wa muziki nchini Marekani Sean Kingston, amepotza dili ya mapesa kibao mara
baada ya msichana aliyedai kubakwa naye kutanza taarifa hiyo siku chache
zilizopita.
Msanii huyo alikuwa na show ya kutumbuiza katika
Chuo kimoja huko Canada, lakini Dili hiyo ilikufa mara baada ya kishfa ya
kumbaka msicha yeye na aliyekuwa mtu wa karibu yake, chuo hicho kilisema kuwa
hakiungi mkono mambo ya ubakaji hivyo basi wanafunzi wake hawatoshuhudia tena
tamasha la msanii huyo kama ilivyotaja hapo mwanzoni.
0 maoni:
Post a Comment