H.BABA, NAKWENDA DRC, KWA FALLY IPUPA
Msanii wa Muziki nchini Tanzania H.Baba, amefunguka na kusema kuwa mwezi wa 11, anataka kwenda nchini DRS, kufanya Collabo na fally ipupa.
haya aliyasema mara baada ya kufanyiwa mahojiano na Bongo5, aliongezea kwa kusema kuwa " safari ni mwezi wa 11 sababu , Flly Ipupa, alikuwa kwenye tour kwahiyo natakiwa niende. namshukuru mungu kunikubalia kwake. na mimi pia nimejikusanya sababu nadunduliza , sina mtu wa kunisaidia ningempata mtu wa kunisaidia ingekuwa ni vizuri zaidi. lakini namshukuru mungu najikongoja hivyo hivyo , nitafika salama kwa uwezo wa mungu " hayo yalikuwa maneno ya msanii huyo kupitia mtandao huyo.
0 maoni:
Post a Comment