RAIS WA FIFA " BLATTER" YAMTOKEA PUANI ....?
Msanii wa Muziki nchini Tanzania H.Baba, amefunguka na kusema kuwa mwezi wa 11, anataka kwenda nchini DRS, kufanya Collabo na fally ipupa.
haya aliyasema mara baada ya kufanyiwa mahojiano na Bongo5, aliongezea kwa kusema kuwa " safari ni mwezi wa 11 sababu , Flly Ipupa, alikuwa kwenye tour kwahiyo natakiwa niende. namshukuru mungu kunikubalia kwake. na mimi pia nimejikusanya sababu nadunduliza , sina mtu wa kunisaidia ningempata mtu wa kunisaidia ingekuwa ni vizuri zaidi. lakini namshukuru mungu najikongoja hivyo hivyo , nitafika salama kwa uwezo wa mungu " hayo yalikuwa maneno ya msanii huyo kupitia mtandao huyo.
Rais wa FIFA, Sepp Blatter, amemuomba radhi mchezaji wa timu ya Real Madrid , Christiano Ronaldo kwa maneno aliyoyasema kuhusu mchezaji huyo siku aliyotembelea Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza.
Blatter alitoa maneno ya Dhihaka kwa CR, wakati alipokuwa anazungumzia na kumfaninisha mchezaji wa Barcelona , Lionel Messi.Blatter alisema kuwa Messi ni mtoto mtiifu anayevutia mzazi yoyote kumpenda , ana tabia nzuri, ni mpole na hana makuu, zaidi ya yote ni mchezaji ambaye ana uwezo wa kipekee unaotokana na kipaji halisi kilichopo miguuni mwake ambapo akicheza mpira uwanjani anaonekana kama anacheza muziki.
aliendelea na kuamia kwa CR, Kwa kusema ni mchezaji ambaye huwaamrisha wenzake uwanjani kama inavyokuwa vitani kwa kamanda anayewaamrisha wenzie, pia aliendelea kusema kuwa Ronaldo anatumia pesa nyingi katika masuala ya Urembo hasa nywele zake tofauti na messi, maswala hayo hayamsumbui kichani mwake, alimaliza kwa kusema kuwa Mesi ndiye mchezaji namba moja kwake.
CR, alijibu mashambulizi kwa kumuandikia kuwa " Namtakia Blatter afya njema na maisha marefu ili aweze kuwashuhudia wachezaji anaowapenda na timu anazozipenda zikipztz mafanikio.
0 maoni:
Post a Comment