MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

JENNIFER LOPEZ, AMFUKUZA MPENZI WAKE

Inadaiwa kuwa Jennifer Lopez, ameachana na aliyekuwa mpenzi wake mwenye umri wa miaka 26, C asper Smart,penzi lao limedumu kwa kipindi cha miaka miwili mpaka sasa.

Msanii huyo mwenye miaka 44, amevunja penzi hilo na kumfukuza nyumbani kwake, lakini wadau wanasema kuwa wawili hao bado wapo kwenye penzi lakini hawatokuwa kwa muda mrefu kutokana na kupungua kwa kasi sana kila kukicha.
Chanzo kimoja kinadai kuwa kuwa kwa muda mrefu katika penzi lao ni kutoka na watoto wa J.Lopez kumpenda Baba yao wa kambo.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment