MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

TIMBALAND ASHTAKIWA NA MKEWE.

1016-timbaland-monique-getty
Aliyekuwa mke wa Timbaland amefungua Kesi ya kudai kuachana na Msanii huyo, Pia mama huyo wa mtoto wa miaka 5,na Timbaland,  amedai kuwa anatijai pesa za matuzo ya mtoto wake na Mtoto wa kufikia wa Timbaland .

Inasemekana kuwa mwanamama huyo amezaa mtoto mmoja na msanii huyo lakini kabla alishawai kuwa na mume mwengine ambaye alizaa naye mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 10, lakini mama huyo amesema kuwa anataka matumizi ya mtoto huyo pamoja na Yule wa Timbaland.



Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment