Moja ya mitandao mmoja nchini
Tanzania Bongo5, walifanya mahojiano na msanii anayetisha zaidi na kusemwa
midomoni mwa watu kwa vitu vyake , si mwengine bali ni Shilole, amefunguka na
kusema kuwa anafanya muziki kulingana na mahitaji ya mashabiki wake na si kwa
kusikiliza nawazo ya ntu mmoja mmoja yasiyokuwa na manufaa kwenye muziki wake.
Shilole,
aliendelea kwa kusema kuwa “ nafanya muziki anaofanya Shilole peke, na wapenzi
wengi wa muziki wangu wanafurahishwa ba kitendo cha kuwapandisha vijana na
kucheza nao, hii inaleta mzuka kwangu na kwa wapenzi wa Burudani” hayo yalikuwa
maneno ya Shilole kupitia mahojiano kati yake na Bongo5.
Hakuishia
hapo tu bali aliendelea kufunguka zaidi na kusema kuwa “ Ninavyowapandisha
Vijana na kucheza nao huku wakinishika au tumeshikana ndio wanaona hatari ?
mbona ni mambo ya ambayo yanafanyika kwenye show mbalimbali , pia ili kuleta uhualisia
wa show ni lazima mshikane kidogo kwa wale ambao wanaona kama naharibu ni
washamba tu. “ sasa kazi ni kwako wewe unayeona kuwa shilole na mvunjifu wa
hali ya hewa.
0 maoni:
Post a Comment