![]() |
| Kiganja cha mkono wa mtu, ukimwagika damu. |
Mtu mmoja jijini Mwanza
anadaiwa kukamatwa na kiganja cha mtu akiwa anajiandaa kumuuzia mteja kwa sh
million 100.
Washukiwa walikamatwa karibia na uwanja wa ndege wa Mwanza, wakawapekulia wakakutwa mteja ana 100 million na mganga ana kiganja ambacho bado kibichi kinatoa damu, kina tunguri pia na nywele za binadamu

0 maoni:
Post a Comment