Asha Baraka, amefunguka na kusema kuwa
makundi mengi ya Bend za Dansi nchini yametengwa kwenya matamasha mengi, hayo
ameyasema kupitia kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC 1,
Aliendelea kwa kusema jambo hilo linawafanya wasanii
wengiu wa Densi nchini Kuishi katika Maisha ya Kimasikini, ametolea mfano
tamasha la Fiesta ambalo uzunguuka nchi nzima lakini halijawapa nafasi wasanii
wa densi ata kundi moja.
Kutokana na jambo hilo wasanii wengi wamekuwa
wakijiingiza katika biashara hatari kama vile madawa ya kulevya , mfano mdogo
kuna wasanii wamekamatwa nchini China
kutokana na maisha kuwa magumu.
Amesema pia swala la stika za TRA, haziwezi kupunguza
wizi wa kazi za wasanii.
0 maoni:
Post a Comment