Msanii wa nchini Marekani Chris Brown,
anatakkiwa kurudishwa tena Rehab, kwa muda wa siku 90, ili andelee na maneno matibabu kama
mgonjwa wa nje.
Maneno hayo yametolewa na mahakama siku ya jumatano,
kufuatia ripoti iliyotolewa na afisa aliyekuwa anaangalia muenendo wa kipindi
cha Probation alichopewa Chris Brown, tangu ampigie vibaya Rihanna mwaka 2009.
0 maoni:
Post a Comment